Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya michezo ya raundi ya tano ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambayo itapigwa Februari 25 na Februari 26
Yanga itacheza na Gwambina Fc siku ya Jumatano, Februari 26 katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa, saa moja usiku
Washindi wa raundi hii watajihakikishia kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo
Ratiba ya michezo yote

ADVERTISE HERE