Install Spotika App kutoka Play Store

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2020
Install Spotika App kutoka Play Store

Wakati Mwana Jangwani ikiendelea kukuweka karibu na timu yako ya Yanga, mabingwa wa kihitoria, Spotika itakuweka karibu na taarifa zote za soka duniani

Habari zote za michezo na Burudani za Kitaifa na Kimataifa zinapatikana ndani ya Spotika

Taarifa za usajili kwa timu pendwa huko Ughaibuni nazo zinapatikana. Pia kuna ratiba za mechi za Ligi Kuu Uingereza, La Liga, Serie A. Misimamo ya Ligi zinazofuatiliwa zaidi inapatikana humo

Ndani ya Spotika pia kunakuwa na uchambuzi wa michezo mbalimbali na matukio muhimu kuelekea mchezo husika

Kwa sasa Spotika inapatikana PLAY STORE kwa wale wanaotumia iPhone toleo lao litakuwa hewani karibuni.

Bonyeza hapo chini ku-install toleo la Android;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’