Ushindi wa bao 1-0 waliopata Yanga dhidi ya Gwambina FC, umewafanya waungane na timu nyingine saba kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Timu saba kutoka ligi kuu zimefuzu wakati Sahare All Stars peke yake ndio iliyopenya kutoka ligi daraja la kwanza
Hizi hapa timu zote zilizofuzu

ADVERTISE HERE