Happy BirthDay Anthony Mavunde

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2020
Happy BirthDay Anthony Mavunde

Ukitaja jina la Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Mh Anthony Mavunde, Wanayanga watakumbuka kazi kubwa aliyoifanya mwaka jana wakati akiongoza Kamati ya Hamasa na Michango

Juhudi zilizofanywa na Kamati yake, hasa tukio la KUBWA KULIKO, zilichangia kwa kiasi kikubwa kuifanya Yanga isimame na hata kuboresha timu dirisha kubwa la usajili

Mh Mavunde leo anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY ANTHONY MAVUNDE...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’