Yanga leo imeandika Historia baada ya tiketi za mchezo dhidi ya Simba (Mzunguuko Tsh 7,000/- na VIP A Tsh 30,000/- ) kumalizika saa tano asubuhi
Hii ni historia mpya kwani hakuna timu ambayo ilimaliza mauzo ya tiketi saa tano asubuhi...!
Sasa kazi moja imebaki saa 11 jioni...!
ADVERTISE HERE