Siri ya hiki kiatu cha Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2020
Siri ya hiki kiatu cha Morrison

Jana mshambuliaji Benard Morrison alicheza kwa dakika takribani 56 tu katika mchezo dhidi ya Simba ambao aliifungia Yanga bao muhimu lililowafanya watoke kifua mbele kwa ushindi wa bao 1-0

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael jana baada ya mchezo alibainisha kuwa Morrison aliumia mazoezini siku mbili kabla ya mchezo na ndio maana alimtoa mapema tu kwenye kipindi cha pili kwani hakuwa fiti

Lakini siri moja kubwa ni kuwa mapema wiki iliyopita Morrison alitembelewa nchini na mkewe akiwa pamoja na mtoto wake

Walimletea zawadi ya viatu ambavyo alivitumia kwenye mchezo wa jana

Bao lake alilofunga kwenye mchezo huo tena akiwa na viatu hivyo alivyozawadiwa na 'wife', lilipeleka furaha sio tu kwa Wanayanga bali hata kwa familia yake

Morrison amebainisha kuwa viatu hivyo atavitumia katika mechi maalum tu

"Vilikuwa viatu Maalum kwa kazi maalum Namshukuru Mungu nimeimaliza kazi salama"

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’