FT : Namungo Fc 1-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2020
FT : Namungo Fc 1-1 Yanga

Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Namungo Fc dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Majaliwa Ruangwa, umemalizika kwa sare ya bao 1-1

Yanga walitangulia kufunga bao la kuongoza mapema tu kwenye dakika ya tano kupitia kwa Tariq Seif Kiakala aliyeunganisha vyema krosi ya Juma Abdul

Namungo wakarejea mchezoni kwenye dakika ya 62, Birigimana Blaise akiwafungia bao la kusawazisha

Ni bao ambalo liliwarudisha Namungo mchezo lakini lililalamikiwa na nyota wa Yanga kwani mfungaji alionekana kuwa eneo la kuontea kabla ya mpira kupigwa

Huo ni mchezo wa tisa Yanga inalazimishwa matokeo ya sare msimu huu

Mabingwa hao wa kihistoria wamefikisha alama 51 baada ya kushuka dimbani mara 27. Wanaendelea kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam Fc na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’