Kikosi cha Yanga kimeondoka leo kwenda mkoani Singida kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tisa dhidi ya wenyeji Singida United.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Novemba 04 katika dimba la Namfua.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema Yanga imeondoka bila ya wachezaji wanne, ambapo watatu ni majeruhi na mmoja anatumikia adhabu baada ya kufikisha kadi tatu za njano.
Juma Abdul ndiye anayetumikia adhabu ya kukosa mchezo mmoja wakati Thabani Kamusoko, Donald Ngoma na Amissi Tambwe hawa ni majeruhi.

ADVERTISE HERE