Nyota wa kigeni watakaosafiri kuzuiwa kurudi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2020
Nyota wa kigeni watakaosafiri kuzuiwa kurudi

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa tahadhari kuwa kwa timu zenye wachezaji na wafanyakazi kutoka nje ya nchi, wahakikishe wanabaki nchini

Karia amesema mchezaji yeyote ambaye atasafiri nje ya nchi hataruhusiwa kurudi baada ya muda wa siku 30 uliotolewa na Serikali

"Ni kinyume na agizo la Serikali wachezaji au wafanyakazi kutoka nje ya nchi kurudi makwao wakati huu ambao ligi zimesimama"

"Nimepata taarifa kuwa baadhi ya vilabu vinapanga kuwaruhusu wachezaji na wafanyakazi wao wa kigeni kurudi makwao"

"Niwatahadharishe tu kuwa wachezaji hao hawataruhusiwa kurejea hata pale mda uliotolewa ukiwa umepita"

"Inawezekana kukawa na unafuu baada ya muda huo lakini hawataruhusiwa kurejea kwa kuwa hatujui hali ilivyo huko kwao. Lakini pia nasi kama Shirikisho hatuwaruhusu kushiriki michezo yetu"

Serikali ilisimamisha shughuli zote za michezo ambazo zinahusisha mikusanyiko kwa muda wa siku 30 pamoja na kufunga shule na vyuo vyote katika jitihada za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona ambavyo vinasambaa kwa kasi kote duniani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’