Jarida la Yanga kurudi upya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2020
Jarida la Yanga kurudi upya

Msimu wa 2017/18 uongozi wa klabu ya Yanga walianzisha mradi wa jarida la klabu hiyo ambalo lilipaswa kutoka kila mwezi mara moja

Mradi huo ulisimamiwa na aliyekuwa Afisa Habari Dismas Ten ambaye sasa ni Afisa Masoko

Hata hivyo baada ya kutoa toleo moja tu, mradi huo haukuendelea huku sababu za mradi huo kufa zikiwa hazikuwekwa wazi

Uongozi wa Yanga umebainisha kuwa wako kwenye mpango wa kuufufua mradi huo ambao utaingizia Yanga mamilioni

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema mchakato wa kulirejesha jarida hilo uko kwenye hatua za mwisho na kuwataka mashabiki wa Yanga wakae mkao wa  kula

Jarida hilo litasheheni taarifa za kina kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’