Mahadhi haamini majeraha yamemuweka nje miaka miwili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2020
Mahadhi haamini majeraha yamemuweka nje miaka miwili

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi bado anaendelea kufanya mazoezi binafsi kabla ya kuanza program za mazoezi na wachezaji wengine

Mahadhi aliumia mwezi August mwaka 2018 kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho hatua ya Makundi dhidi ya USM Alger, mchezo ambao Yanga iliondoka na ushindi wa mabao 2-1

Winga huyo mwenye kasi ya kimbunga, amesema haamini kama jeraha hilo limemuweka nje kwa miaka miwili

Hata hivyo anashukuru hali yake imetengemaa na karibuni ataanza kuonekana kikosini

"Nashukuru nakaribia kurejea dimbani kwa uwezo wa Mwenye ez Mungu. Nawashukuru sana wale walionipa msaada wa mawazo, fedha na hata chakula mungu awabirik sana sina cha kuwalipa zaidi ni kunisubiria uwanjani inshaallah"

Hivi karibuni Mahadhi alianza mazoezi mepesi ya uwanjani ikiwa ni dalili njema kwake kuwa anakaribia kuwa fiti kuendelea na majukumu yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’