Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu, leo amethitisha kifo cha mgonjwa wa kwanza Tanzania aliyekuwa na maambukizi ya virusi vya Corona
Mwanaume mwenye umri wa miaka 49 aliyefahamika kwa jina la Iddi Mbitta amefariki akiwa katika kituo cha Mloganzila
Mbitta alikuwa mdau mkubwa wa michezo ambapo alikuwa Mjumbe wa Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba
Ni muhimu Wananchi tuendelee kuchukua tahadhari na Corona. Tusikilize ushauri tunaopewa na wataalam pia tupunguze mizunguko isiyo ya lazima, tuepuke misongamano
ADVERTISE HERE