Molinga asoma alama za nyakati, ajiandaa 'kusepa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Apr 2020
Molinga asoma alama za nyakati, ajiandaa 'kusepa'

Baada ya Yanga kuanza mchakato wa kumrejesha mshambuliaji Heritier Makambo, ni wazi safari ya David Molinga itakuwa imefika tamati

Pamoja na kuwa kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga akiwa amefunga mabao nane, Molinga ameshindwa kuwashawishi mashabiki kutokana na kiwango chake kutotabirika

Aidha nidhamu yake inatajwa kumponza zaidi Mcongoman huyo aliyetua Yanga kwa mkopo

Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ambaye ndiye aliyefanikisha usajili wake, amesema Molinga amepata timu na ataondoka mwishoni mwa msimu

"Haonekani kuwa na furaha Yanga, ameniambia amepata timu nyingine hivyo ataondoka mkataba wake ukimalizika," alifichua Zahera ambaye ameweka makazi yake nchini

Mwanzoni mwa msimu Zahera alimtabiria Molinga kuwa atafunga zaidi ya mabao 15 kwenye ligi na kama yasipotimia pasi akatwe mkono

Ni wazi Molinga hataweza kufikisha idadi hiyo ya mabao pengine Zahera ajiandae kukatwa mkono! pamoja na ahadi ya Tsh Milioni 2 ambayo pia aliitoa kwa mmoja wa waandishi wa habari

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’