Dar yaongoza kwa maambukizi Corona

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2020
Dar yaongoza kwa maambukizi Corona

Bado nchi inakabiliwa na changamoto ya ugonjwa wa Corona ambapo leo Serikali imethibitisha kuwa watu 20 wameambukizwa

Mtu aliyefariki mpaka sasa ni mmoja wakati watu wawili wamepona

Watu 532 wanafuatiliwa na watu 132 wako kwenye karantini

Mkoa wa Dar es salaam una wagonjwa 12, Zanzibar watano, Arusha wawili na Kagera mmoja

Wananchi wameaswa kuendelea kuchukua tahadhari kwa kufuata maelekezo ili kujikinga na maambukizi mapya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’