Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti moja la kila siku ambalo lilimnukuu Makamu Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela kupendekeza msimu wa ligi umalizwe na Simba ipewe ubingwa
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga, imebainisha kuwa gazeti hilo limepotosha maoni ya Mwakalebela

ADVERTISE HERE