Hayo ni maneno ya Mkurugenzi wa Uwekezaji kampuni ya GSM Hersi Said baada ya kumalizana na nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi
Tshishimbi sasa ameongeza mkataba wa kuendekea kubaki Jangwani
Inaelezwa mwamba huyo kutoka DR Congo amesaini mkataba wa miaka miwili
Sasa mjadala kuhusu Tshishimbi umefungwa rasmi...!
ADVERTISE HERE