Namfua hapatoshi, mashabiki wafurika wamuone Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2017
Namfua hapatoshi, mashabiki wafurika wamuone Tshishimbi
Mashabiki wa soka kutoka ndani na nje ya mkoa wa Singida wamefurika kwenye Uwanja wa Namfua kuanzia saa 12.00 asubuhi tayari kushudia mechi kati ya Singida United dhidi ya Yanga.

Mistari mirefu ya mashabiki wakiingia uwanjani ilionekana tangu asubuhi huku wengi wakidai lengo lao ni kumuona kiungo mpya wa Yanga, Papy Tshishimbi.

Tiketi za jukwaa kuu zimeisha mapema kabla ya saa tatu asubuhi, na wahusika wamekuwa wakiwasiliana na mamlaka husika ili waweze kuuza vishina vilivyobaki.

Pia, kumekuwepo na ulanguzi tiketi za Sh 7,000, zinauzwa hadi Sh 10,000.

Nje ya Uwanja wa Namfua, umepambwa na wajasilimali wengi kutoka nje ya mkoa,wakiuza jezi za Simba na Yanga huku jezi za wenyeji Singida United hazikuwepo kabisa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’