Yanga yatajwa kumuwania pacha wa Miquissone

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Apr 2020
Yanga yatajwa kumuwania pacha wa Miquissone

Baada ya kumkosa Luis Miquissone kwenye usajili wa dirisha dogo, inaelezwa Yanga kupitia wadhamini/wahisani wao GSM wamejitosa kumuwania kiungo mshambuliaji wa UD Songo Jimmy Ukonde

Inafahamika katika usajili ujao Yanga itaweka mkazo zaidi katika kuimarisha safu yake ya ushambuliaji

Ni kutokana na safu hiyo kushindwa kufua dafu msimu huu

Ukonde mwenye umri wa miaka 23 naye hutumia mguu wa kushoto

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amefichua kuwa tayari mazungumzo ya kuipata sahihi ya nyota huyo yameanza ambapo safari hii GSM wameahidi kukamilisha dili lake mapema

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’