Pamoja na kuomba radhi,Simba yamkomalia Mwakalebela

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Apr 2020
Pamoja na kuomba radhi,Simba yamkomalia Mwakalebela

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kupokea malalamiko ya klabu ya Simba kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela kuhusu mchezaji Clatous Chama

Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo imesema suala hilo limepelekwa kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kwa ajili ya hatua zaidi

Jana Mwakalebela aliomba radhi kwa kauli yake ambapo alibainisha kuwa alichokuwa akifanya yeye ni mwendelezo wa utani baina ya vilabu vya Yanga na Simba na hakukuwa na ukweli wowote kuwa wamefanya mazungumzo na Chama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’