Mastaa Yanga 'wana-enjooy' maisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2020
Mastaa Yanga 'wana-enjooy' maisha

Kama mlivyosikia, siku ya jana Mdhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM, ilifanya Suprise ambayo wachezaji hawakuwa wameitarajia.

Wachezaji waliitwa pamoja na Meneja wao Abeid Mziba kufika Mlimani City kwa ajili ya jambo muhimu

Baada ya wachezaji kufika Mlimani City walipelekwa moja kwa moja kwenye Duka la GSM ndani ya Mlimani City na kukabidhiwa Vocha ya Tsh Laki sita kwa kila mchezaji na kutakiwa kutumia VOCHA hiyo kwenye maduka Ya GSM kwa kujipatia bidhaa wanayoitaka.

Wachezaji walifurahishwa sana na Jambo hilo

Mpango unaofuata ni kuwa GSM inakusudia kuwaalika wachezaji waliooa kuwapeleka wake zao kwa suprise nyingine!

Jambo hili linawahusu wachezaji wote wakiwemo wale ambao wako nje ya jiji la Dar es salaam, watakaporejea watakutana na kila kitu walichopewa wenzao

Haya ndio mambo ambayo yalikosekana kwenye kikosi cha Yanga tangu alipoondoka Manji

Wachezaji sasa wanajisikia furaha kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga, hiyo tu inatosha kuwaongezea hamasa na kujituma

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’