Tunafanya mazoezi lakini tunajikinga na corona - Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Apr 2020
Tunafanya mazoezi lakini tunajikinga na corona - Tshishimbi

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi ameendelea kujifua kikamilifu kujiweka sawa wakati huu ligi ikiwa imesimama kutokana na janga la ugonjwa wa corona

Mcongomani huyo amesema anafanya mazoezi binafsi, lakini pia anachukua tahadhari ambapo amewataka mashabiki wa soka wote kuwa makini na changamoto hii

"Nafanya mazoezi ili niweze kuwa fiti pale ligi itakaporejea, lakini nachukua tahadhari. Tupo kwenye wakati mgumu wa mapambano ya corona hivyo kila mmoja wetu anapaswa kuwa makini, " amesema

Hivi karibuni Tshishimbi aliongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kubaki Jangwani

Ni baada ya mvutano wa hapa na pale baina yake na uongozi wa Yanga huku zikiibuka tetesi kuwa alikuwa akinyemelewa na klabu ya Simba

Tshishimbi amesema anafurahi kuendelea kuwa sehemu ya familia ya klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’