Corona yakwamisha Mkutano Mkuu wa Wanachama Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Apr 2020
Corona yakwamisha Mkutano Mkuu wa Wanachama Yanga

Mwezi May mwaka huu uongozi wa klabu ya Yanga ulitarajiwa kuitisha Mkutano Mkuu wa Wanachama kwa ajili ya kupitisha marekebisho ya baadhi ya vipengele vya Katiba kabla ya timu hiyo kuingia kwenye mfumo mpya wa uendeshaji

Hata hivyo kutokana changamoto ya ugonjwa wa corona, ni wazi Mkutano huo hautakuwepo mpaka pale janga hili litakapokuwa limepatiwa ufumbuzi

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredric Mwakalebela amekiri kuwa changamoto ya ugonjwa huu inawachelewesha kukamilisha baadhi ya michakato yao lakini wanaendelea na taratibu nyingine ambazo hazihitaji mikusanyiko

Amesema kwa kushirikiana na wadhamini wao GSM, wamedhamiria kukamilisha kila kitu mapema ili kuanzia msimu ujao Yanga ianze kuendeshwa kisasa

GSM imetenga zaidi ya Milioni 900 kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa mabadiliko Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’