Yanga yataka bingwa apatikane uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2020
Yanga yataka bingwa apatikane uwanjani

Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli, amesema kuhusu swala la wadau mbalimbali wanaotoa maoni kwamba, kwa sababu ligi imesimama basi msimu umalizike na klabu ya Simba wapewe ubingwa kuwa hilo haliwezekani kwani ili bingwa apatikane lazima mechi zote za ligi kuu zichezwe.

Bumbuli amesema klabu ya Yanga imebakisha mechi 11 ambazo ni sawa na pointi 33 hivyo upo uwezekano wa Yanga kuwa mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu na hivyo kuondoa uhalali wa Simba kupewa ubingwa pasi na mechi zote kuchezwa

Hivi karibuni baadhi ya wabunge walipendekeza msimu umalizwe na Simba ikabidhiwe ubingwa ili iwakilishe Tanzania kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao na klabu ya Azam ishiriki kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’