Ukinunua jezi ya Yanga, unapata Jarida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2020
Ukinunua jezi ya Yanga, unapata Jarida

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla leo amezindua Jarida rasmi la klabu hiyo ambalo limeingia sokoni

Jarida hilo lililosheheni taarifa mbalimbali zinazoihusu Yanga, linapatikana kwa bei ta Tsh 5,000/ tu

Aidha kwa wale ambao watanunua jezi origino za Yanga ambazo zinapatikana kwa bei ya Tsh 20,000/- katika maduka yote ya GSM, watajipatia nakala ya jarida hilo bure

Jarida hilo unaweza kulipata Makao Makuu ya klabu ya Yanga jijini Dar es salaam, Matawi yote nchini na kupitia makundi maalum ya mtandao wa WhatsApp

Aidha, klabu ya Yanga imewakaribisha wafanyabiashara wengine ambao wataweza kununua kwa bei ya jumla ili wawasambazie wasomaji kote nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’