Winga Mrisho Ngasa ni miongoni mwa nyota wa Yanga ambao wanatumia muda huu ligi ikiwa imesimama kujiweka sawa
Ili kuhakikisha anafanya mazoezi sahihi, Ngasa anajifua chini ya uangalizi wa mkufunzi wa mpira, Danny
Ngasa ameahidi ligi itakaporejea, kama atapewa nafasi katika kila mchezo, atahakikisha anafunga
ADVERTISE HERE