Tumalize ligi tuangalie mambo mengine - Tariq

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 May 2020
Tumalize ligi tuangalie mambo mengine - Tariq

Mshambuliaji wa Yanga Tariq Seif Kiakala ameeleza kupokea kwa furaha kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli ambaye jana alisema anaweza kuruhusu ligi ikaendelea baada ya kushauriana na wataalamu wa Afya

Tariq aliyetua Yanga mwezi Januari na mpaka sasa akiwa amewafungia mabingwa hao wa kihistoria mabao matatu, amesema tangu ligi iliposimama March 17 wamekaa kwa takribani siku 47 bila ya kucheza

"Kwangu naona utakuwa uamuzi mzuri tu kama Rais Magufuli ataruhusu Ligi Kuu kuendelea ili tumalize tuangalie mambo mengine. Maana tangu kuzuiwa kwa michezo nchini Marchi 17, 2020 mpaka leo ni takribani siku 47, " amesema

Aidha Tariq amesema itakuwa vyema ligi hiyo ikichezwa bila ya mashabiki na muhimu zaidi wachezaji kupimwa kila mara kabla ya mchezo

Jana kwenye hafla ya kumwapisha Waziri wa Katiba na Sheria, Rais Magufuli alisema haoni sababu ya kuendelea kusitisha shughuli za michezo kwa kuwa ugonjwa wa corona hauna athari kubwa kwa watu wanaofanya mazoezi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
37m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’