Siku chache zilizopita mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma aliomba ruhusa kwa uongozi wa timu hiyo ili arejee kwao nchini Zimbabwe kutibiwa majeraha yake.
Mshambuliaji huyo bado yuko nchini Zimbabwe ambapo taarifa zaidi zimebainisha kuwa Ngoma atarejea mwishoni mwa wiki hii akiwa kamili kujiunga na kikosi cha Yanga kinachojiandaa kuikabili Mbeya City kwenye mchezo unaofuata ligi kuu ya Vodacom, Novemba 19.
Huenda Yanga ikawa na wachezaji wake wote waliokuwa majeruhi kwenye mchezo huo kwani tayari daktari wa timu hiyo Dk Bavu amebainisha kuwa majeruhi wengine, Kamusoko na Tambwe wanaweza kurejea dimbani Novemba 09.

ADVERTISE HERE