BMT yapokea maoni idadi ya nyota wa kigeni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2020
BMT yapokea maoni idadi ya nyota wa kigeni

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza kuanza kupokea maoni kutoka kwa wadau kuhusu idadi ya nyota wa kigeni ambao wanapaswa kusajiliwa na vilabu vya mpira wa miguu na michezo mingine nchini

Kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona, BMT imetangaza kupokea maoni hayo kupitia barua pepe na kurasa zake za mitandao ya kijamii

Zoezi hilo litafanyikwa kwa muda wa siku nane kuanzia leo Mei 12 hadi Mei 20 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’