Msuva amtaja Pluijm siri ya mafanikio yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2020
Msuva amtaja Pluijm siri ya mafanikio yake

Mshambuliaji wa pembeni wa timu ya Difaa Al Jadid  ya Morocco, Mtanzania Simon Msuva, amesema mafanikio yake katika soka  yalichangiwa kwa kiasi kikubwa na kocha wa zamani wa Yanga, raia wa Uholanzi Hans Pluijm.

Msuva alisajiliwa katika klabu ya Difaa Al Jadid msimu wa 2017, akitokea Yanga baada ya kuonesha kiwango cha hali ya juu cha soka.

Msuva amemtaja Pluijm kama kocha aliyekuwa akimpa matumaini ya kufikia malengo yake katika soka la kimataifa

"Pluijm kwangu ni kocha wangu bora muda wote. Kuna wakati nilizomewa na mashabiki hata kunitupiwa chupa za maji uwanjani, lakini alikuwa ananiita na kunitaka machungu niliyokuwa nayapata wakati ule yawe chachu ya kujituma mazoezini na kutokata tamaa," Msuva amenukuliwa na gazeti la Bingwa

"Hata wakati napata dili la kuja Morocco Pluijm ndiye aliyenishauri kutoikataa hii ofa na kunitaka nipambane, kwani ni njia ya kupata mafanikio"

Msuva anabaki kuwa miongoni mwa wachezaji walioipa Yanga heshima akishiriki katika kikosi kilichotwaa mataji matatau mfululizo kuanzia mwaka 2014

Mpaka leo Yanga bado inatafuta mchezaji sahihi wa kuziba nafasi yake kwani tangu alipoondoka pengo lake limebakia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’