Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amezindua kampeni rasmi ya kuashiria mwanzo wa mchakato mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga
Dk Msolla amesema wameunda kamati ndogo ya Mabadiliko ambayo itakuwa chini ya Mwanasheria Alex Mgongolwa
Mchakato mzima wa Mabadiliko utasimamiwa na GSM
Kauli mbiu ya mchakato huo ni TWENZETU KWENYE MABADILIKO
Hatua hizi ni mwanzo tu kuelekea kuweka sahihi Makubaliano ambayo ndio itakuwa muda rasmi wa mchakato huo wa mabadiliko kuanza
ADVERTISE HERE