Wachezaji Yanga wapimwa Afya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2020
Wachezaji Yanga wapimwa Afya

Nyota wa klabu ya Yanga wameanza zoezi la kupimwa afya tayari kuanza mazoezi rasmi kuelekea kukamilisha ngwe ya lala salama ligi kuu ya Vodacom

Pamoja na kupimwa corona, wachezaji wanafanyiwa vipimo vingine kama uzito, sukari pamoja na magonjwa mengine ikiwemo Malaria

Zoezi hilo linafanyika katika uwanja wa Shule ya Sheria, Ubungo Mawasiliano jijini Dar es salaam

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wameanza na wachezaji ambao wako jijini Dar es salaam, wakitarajia zoezi hilo kuwa limekamilika mpaka kufikia mwishoni mwa wiki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’