Eymael kutua wiki hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2020
Eymael kutua wiki hii

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael anatarajiwa kurejea wiki hii kuendelea na majukumu yake kwenye kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria

Kumekuwa na changamoto ya usafiri kwa Mbelgiji huyo ambaye amekwama nchini kwao, Ubelgiji ikiwa bado imefunga mipaka

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema taratibu zote za safari yake zimekamilika na wanatarajia wiki hii atawasili

"Tunategemea kocha wetu atawasili nchini siku yoyote wiki hii. Kulikuwa na changamoto ya usafiri wa anga Ubelgiji lakini tayari wamefungua hivyo tunatarajia ataianza safari siku yoyote na pengine safari ya Shinyanga tutakuwa nae, " amesema

Wakati Eymael akisubiriwa, kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi chini ya kocha msaidizi Charles Mkwasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’