Leo Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa atazungumza na Waandishi wa Habari za michezo saa tisa na nusu alasiri, kwenye Uwanja wa Mazoezi, Chuo cha Sheria, Dar es Salaam
Waandishi wametakiwa kuwahi tukio hilo ambalo litafanyika kabla ya kuanza mazoezi ya jioni
ADVERTISE HERE