Niyonzima apewa tuzo mechi dhidi ya Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2020
Niyonzima apewa tuzo mechi dhidi ya Mwadui Fc

Kiungo fundi Haruna Niyonzima amepewa tuzo kwa kuibuka nyota wa mchezo kati ya Mwadui Fc dhidi ya Yanga ambao ulipigwa juzi kwenye uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga

Ukiwa ni utaratibu ulioanzishwa na Yanga mwishoni mwa mwaka jana, mashabiki hupiga kura kwenye mtandao wa twitter kuchagua nyota wa mchezo

Niyonzima alipata asilimia 48 ya kura akiwashinda mkongwe Kelvin Yondani ambaye siku hiyo alicheza kiungo, na beki kisiki Lamine Moro

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’