Sasa niko fiti kuisaidia timu yangu - Sonso

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2020
Sasa niko fiti kuisaidia timu yangu - Sonso

Beki kiraka wa Yanga Ally Mtoni Sonso amesema amepona majeraha yaliyomuweka nje kwa karibu wiki mbili sasa akiwa tayari kurejea kikosini

Mtoni hakusafiri na timu kutokana na majeraha aliyopata katika moja ya mechi za kirafiki

"Nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu lakini kwa sasa nashukuru nimepona. Niko mzima tayari kuisaidia timu yangu kwa mechi zijazo," alisema Mtoni

Mtoni amekuwa akitumika kama mchezaji kiraka ndani ya kikosi cha Yanga akicheza nafasi za ulinzi wa kati, pembeni upande wa kushoto na hata kiungo mkabaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’