Yanga yapewa 'mchongo' wa kumnasa Ilanfya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2020
Yanga yapewa 'mchongo' wa kumnasa Ilanfya

Klabu ya KMC imesema iko tayari kumuachia kiungo mshambuliaji Charles Ilanfya kwa timu ambayo watafikia nayo makubaliano

Inaelezwa Yanga inaangalia uwezekano wa kumnasa nyota huyo ambaye ilibaki kidogo atue kwa mabingwa hao wa kihistoria wakati wa kocha Mwinyi Zahera

Habari za uhakika zimebainisha kuwa Ilanfya amewavutia mabosi wa Yanga na anaweza kuwa miongoni mwa wachezaji wazawa ambao watasajiliwa na miamba hao wa soka nchini

Kaimu Katibu Mkuu wa klabu ya KMC, Walter Harrison amesema bado hawajapokea ofa kutoka kwa timu yoyote lakini, wako tayari kuzungumza biashara ya nyota huyo au mwingine yoyote ndani ya KMC

"Hatujapokea ofa yoyote mpaka sasa na sio Ilanfya tu mchezaji yoyote atakaye hitajika na timu nyingine tupo tayari kukaa mezani," alisema

Ilanfya ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa katika mipango ya usajili wa Mwinyi Zahera lakini dili lake lilikwamishwa katika mazingira ya kutatanisha na nyota huyo kupelekwa KMC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
20m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’