Rutanga, beki anayesubiri utambulisho Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jun 2020
Rutanga, beki anayesubiri utambulisho Yanga

Beki wa Kimataifa Mnyarwanda Erick Rutanga amemalizana na mabingwa wa kihitoria Yanga, kwa kifupi unaweza kusema ni usajili unaosubiri utambulisho tu

Nyota huyo aliyekuwa nahodha wa Rayon, hatimaye atavaa uzi wa njano na kijani msimu ujao baada ya jitihada za Yanga kwa usaidizi wa GSM kufanikiwa

Ikumbukwe Yanga ilianza kumnyemelea Rutanga tangu usajili wa dirisha lililopita lakini kilichowakwamisha ni mkataba wake na Rayon

Nafasi ya ulinzi wa kushoto ilipewa kipaumbele na kocha Luc Eymael, ujio wake unakwenda kutibu changamoto katika eneo hilo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
23m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’