Tshishimbi kuwakosa Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jun 2020
Tshishimbi kuwakosa Azam Fc

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi atakosekana kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc kwa kuwa bado hajapona vizuri majeraha yanayomsumbua

Tshishimbi alifanyiwa vipimo na madaktari wa Yanga kubaini maendeleo yake ambapo sasa huenda akalazimika kusubiri wiki moja zaidi kabla ya kurejea uwanjani

Tayari ameanza mazoezi mepesi ambayo yatamsaidia kuimarika haraka

Yanga imejichimbia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Taifa

Mabingwa hao wa kihistoria, watahitaji kuondoka na alama zote tatu ili kuwapiku wana rambaramba hao katika nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’