Mashabiki wamuwashia moto Yikpe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jun 2020
Mashabiki wamuwashia moto Yikpe

Mashabiki wa klabu ya Yanga jana walionesha hasira zao kwa mshambuliaji Yikpe Gnamien baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc

Baada ya mpira kumalizika, mashabiki waliojitokeza kushuhudia mchezo huo uliopigwa uwanja wa Taifa, walishindwa kujizuia baada ya kumshushia matusi mshambuliaji huyo

Baadhi ya mashabiki walipaza sauti zao wakiutaka uongozi wa Yanga wavunje mkataba wake

"Huyo Yikpe hatumtaki..huyo Yikpe hatumtaki.." zilisikika kelele za mashabiki wakati wachezaji wakipanda basi la klabu hiyo

Mashabiki wameutaka uongozi wa Yanga kuhakikisha wanajiridhisha na uwezo wa nyota wanaowasajili 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’