Metacha amuongezea machungu Shikhalo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2020
Metacha amuongezea machungu Shikhalo

Baada ya kukosa nafasi mbele ya Metacha Mnata, mlinga lango Mkenya Farouk Shikhalo amesema ataendelea kupambana na kufuata maelekezo anayopewa na walimu wake kwani anaamini wakati wake utafika

Tangu ligi iliporejea Juni 13, Metacha amecheza dakika zote 180 sawa na mechi tatu ambazo Yanga imecheza

Katika michezo hiyo Metacha ameonyesha ubora wake, akipewa sifa zaidi kwenye mchezo dhidi ya Azam ambao ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Shikhalo amesema anaheshimu maamuzi ya walimu kwa kumuanzisha Metacha lakini pia kwake ni changamoto ya kujiimarisha zaidi

"Kila mchezo una falsafa yake na mwalimu anajua ni nani anastahili kuanza kwenye mechi husika, kukaa kwangu benchi haina maana kwamba siwezi hapana ni maamuzi ya mwalimu na kwa hali hiyo inanifanya nizidi kupambana ili kuwa bora," alisema Shikhalo

Mlinda lango huyo bora wa ligi kuu ya Kenya msimu uliopita, huenda akaanza kwenye mchezo wa ligi kuu kesho dhidi ya Namungo Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’