Yanga, La Liga waanza kazi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2020
Yanga, La Liga waanza kazi

Kampuni ya La Liga ambayo imepewa jukumu la kushauri mchakato sahihi wa mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga, imeanza majukumu yake kwa kutoa semina kwa viongozi

Maafisa wa La Liga bado hawajafika nchini kutokana na changamoto ya corona huko Hispania ambapo mambo mengi bado hayajafunguliwa kama ilivyo hapa Tanzania

Hata hivyo maafisa hao leo wameweza kuendesha semina kupitia mtandao

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, imebainisha kuwa semina hiyo ilihusu umuhimu wa matumizi ya takwimu katika uendeshaji bora wa klabu

Semina hiyo ni muendelezo wa mikutano na semina kuelekea mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’