Eymael amkaribisha Morrison kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2020
Eymael amkaribisha Morrison kikosini

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema hana tatizo na winga Bernard Morrison ambaye leo alishiriki kikamilifu mazoezi ya mabingwa hao wa kihistoria

Hata hivyo Eymael amesema hatamjumuisha Morrison katika safari ya mkoani Mara kuikabili Biashara United Jumapili

Lakini amewahakikishia Wanajangwani kuwa Morrison atakuwa tayari kuwakabili Simba Julai 12

"Nimeongea na Morrison kwa muda mrefu sana leo, kwa upande wangu nimemalizana naye na sina kinyongo naye ila hatokuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Biashara United"

"Endapo nikamhitaji mchezo mwingine unaofuata dhidi Kagera Sugar basi ntautaarifu uongozi ndo watamleta. Kijana katuahidi mengi sana makubwa na kikubwa yupo hapa kuisaidia klabu yake na atalithibitisha hilo siku ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba, Mengine nawaachia uongozi wao ndo watatolea maelezo," alisema Eymael

Kwa upande wa Morrison amesema yeye ni mchezaji halali wa Yanga, yuko hapa kwa ajili ya kuisaidia timu hiyo

" Mimi ni mchezaji wa Yanga , Nina mkataba na Yanga labda wao ndo wanifukuze . Mengine ni changamoto tu za kazi naamini tutafikia suluhu nipo hapa kufanya kazi ", amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’