Yanga yakamilisha maandalizi kabla ya safari ya Musoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2020
Yanga yakamilisha maandalizi kabla ya safari ya Musoma

Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Karume huko Musoma

Mabingwa hao wa kihistoria wanaelekea Musoma wakiweka malengo ya kushinda mechi zao zote mbili ambazo zitapigwa mikoani kabla ya kuwakabili Simba Julai 12

Baada ya mchezo wa Biashara United, Yanga itaelekea mkoani Kagera kuikabili Kagera Sugar katika mchezo ambao utazikutanisha  timu hizo mara ya pili katika kipindi cha siku 10

Mapema wiki hii Yanga iliichapa Kagera Sugar mabao 2-1 kwenye mchezo wa robo fainali kombe la FA na kufanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano hiyo

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’