Morrison kuungana na Yanga Bukoba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2020
Morrison kuungana na Yanga Bukoba

Winga wa Yanga Bernard Morrison 'amepaa' kuelekea Bukoba tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Alhamisi, Julai 09 kwenye uwanja wa Kaitaba

Morrison ataungana na wachezaji wengine ambao jana walicheza na Biashara United kule Mara

Kocha Luc Eymael hakumjumuisha Morrison kwenye safari ya Musoma kwa kile alichokieleza kumpa nafasi mchezaji huyo kuweka sawa mambo yake na uongozi wa Yanga

Hata hivyo Eymael aliahidi kuwa Morrison ataungana nao Bukoba

Mchezo dhidi ya Kagera Sugar utakuwa maandalizi ya mwisho ya kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’