Kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar hapo jana, mapema Yanga ilizindua Tawi la kwanza la klabu hiyo mkoani Kagera
Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Mhandisi Hersi Said alipewa heshima ya kuzindua Tawi hilo ambalo ni la kwanza Bukoba
Hersi amesema kuelekea Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji, Matawi na Wanachama ndio msingi wa maendeleo ya klabu



ADVERTISE HERE