Baada ya kuibuka mchezaji bora wa VPL mwezi Oktoba, Obrey Chirwa, mshambuliaji wa Yanga leo amekabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh Mil moja.
Zawadi hiyo imekabidhiwa na wadhamini wa ligi hiyo, kampuni ya Vodacom kwenye uwanja wa Uhuru ambao Yanga inautumia kwa mazoezi.
Chirwa aliibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba baada ya kuwazidi Ibrahim Ajib na Erasto Nyoni.

ADVERTISE HERE