Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi asubuhi ya leo Bukoba yakiwa ni maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Taifa
Mabingwa hao wa kihistoria wanatarajia kurejea jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kukamilisha maandalizi ya mwisho
Kiungo Haruna Niyonzima na nahodha Msaidizi Juma Abdul ni miongoni mwa walioshiriki mazoezi hayo





ADVERTISE HERE