Kiungo majeruhi Mapinduzi Balama 'kipenseli' jana aliungana na wachezaji wa Yanga katika kambi ya klabu hiyo na kushiriki nao chakula cha jioni
Balama alipata majeraha mwezi uliopita na hivyo atakosa mechi zote zilizosalia kumaliza msimu
Ni wazi kama angekuwa 'fit', asingekosa mchezo dhidi ya Simba hapo kesho


Hii ni heshima kubwa kwa uongozi wa Yanga kutambua mchango wake
Bila shaka uwepo wake, utawaongezea wachezaji wengine hamasa kuelekea mchezo dhidi ya Simba hapo kesho
ADVERTISE HERE