FT : Mtibwa Sugar 1-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2020
FT : Mtibwa Sugar 1-1 Yanga

Yanga imepata sare ya 15 msimu huu baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro

Ulikuwa mchezo mgumu kwa kila upande, Mtibwa Sugar walikuwa wakisaka ushindi ili kujiondoa kwenye hatari ya kuteremka daraja huku Yanga ikihitaji ushindi ili kujikita kwenye nafasi ya pili

Haruna Chanongo ndiye aliyetangulia kuifungia Mtibwa Sugar bao la kuongoza kabla ya Adeyum Saleh hajaisawazishia Yanga dakika saba kabla ya mchezo kumalizika

Kwa hakika, Yanga inahitaji kusukwa upya, hii ni kauli ambayo shabiki yeyote wa Yanga ataitoa kutokana na mwenendo mabingwa hao wa kihistoria msimu huu

Mchezo mmoja umebaki dhidi ya Lipuli, utapigwa Jumapili

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’