TFF yatangaza kumchukulia hatua Eymael

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2020
TFF yatangaza kumchukulia hatua Eymael

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael anaweza kuingia matatani zaidi baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kutangaza kumchukulia hatua kwa kumfkisha mbele ya vyombo husika kufuatia kauli za kibaguzi alizozitoa jana kwa mashabiki wa Yanga

Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa TFF inakusudia kumshitaki Eymael FIFA ili aweze kuchukuliwa hatua zaidi za kinidhamu

Tayari uongozi wa Yanga umetangaza kumfuta kazi na ametakiwa kuondoka nchini haraka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’